Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Meno ya watu wazima

Meno yako yapaswa kukaa siku zote za maisha au uhai wako, lakini lazima uyatunze vizuri. Watu wazima wanapaswa kutunza meno yao ilivyo kwa watoto. Utuzi bora wa afya ya meno ni dalili ya afya bora kwa jumla.
Matatizo ya meno, mdomo au kinywa mara nyingi huw ndizo ishara za matatizo mengine katika sehemu nyinginezo za mwili. Magonjwa kama vile ‘Osteoporosis’ (Ugonjwa wa kupoteza mifupa na bone density) ugonjwa wa moyo na ugonjwa wa kisukari mara nyingi huanza kama ugonjwa wa meno.
 
Hapa pana dalili au ishara unazoweza kuwa nazo ukiwa na matatizo ya meno:
 • Ufizi unaotoa damu
 • Harufu mbaya inayodumu
 • Ladha mbaya daima, mdomoni mwako
 • Mdomo uliokauku, inayosababishwa na matibabu

Tekeleza yafuatayo ukiwa na matatizo ya meno;
 
 • Mwone daktari wa meno mara moja au mbili kwa mwaka
 • Kunywa maji mengi; glasi 4 – 8 kwa siku hata kama hauhisi kiu
 • Kunywa vinywaji vidogo vilivyo baridi
 • Sugua meno mara kwa mara
 • Zingatia unayokula – ulaji wa vyakula visivyobora husababisha kuwa na meno na fizi isiyo na afya
 
Jifunze kuhusu kutunza meno yako ili yawe na afya:
 
 • Dawa ya meno iliyo na floraidi na maji siyo ya watoto tu. Husaidia kila mtu kupunguza uwezo wa kuwa na pengo
 • Sugua meno mara kwa mara hasa baada ya kula vyakula
 • Kula peremende kidogo na vyakula vya sukari kwa kiasi kidogo
 • Usisahau kutoa vyakula kwenye meno kwa kutumia uzi spesheli
 • Kula vyakula halisi mara kadhaa kwa siku
 • Epukana na tumbaku na tumia vileo kwa kiasi kidogo

 

 

0
No votes yet
Your rating: None

Great articles and great layout. Your blog post deserves all of the positive feedback it’s been getting.
scentsy light bulb

»