Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Upangaji wa Uzazi

Je, uko tayari kupata mtoto?  Kuanza familia ni hatua kubwa. Ili kujua kama uko tayari kimwili kimawazo na kifedha inakubidi mjadiliane na mwenzio. Nyingi wawili mnafaa jiulize haja:
  • Kuwa na mtoto kutabadili aje maish yetu, kazi au uhusiano?
  • Mtalipia aje kujifungua na utezi? Mnapesa za kutosha kumnunulia mtoto chakula, nguo na bidhaa nyingine atakazo hitaji?
  • Nani atatunza mtoto? Je,  mnao uwezo wa kumlipa yaya?
Kama mnafikiria mkotayari kupata mtoto, kuna hatua zingine mnazofaa kufanya kuhakikisha mtoto wenu ana rai/afya.
Kama hamko tayari, mnafaa kuchagua njia inayowafaa ya kupanga uzazi, Udhibiti uzazi utaweza utaweza kubadilika  mara kwa mara 
maishani mwako. Ili kufany auamuzi, unafaa kujiuliza maswali uafuatuo:
  • Udhibiti uzazi huu unalingana na mtindo/desturi yetu ya maisha?
  • Je, ni salama?
  • Tutaweza kuugharamia?
  • Je, ni rahisi kutumia?
  • Je, mimba na maradhi ya zinaa?
 
 

 

2
Average: 2 (2 votes)
Your rating: None