Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Uangalizi unapokuwa mja mzito

Kupata mtoto laweza kuwa jambo kubwa sana maishani. Kama unao uwezo, anza kupangia mtoto wako kabla ya kupata mimba. Kama hutaweza hili, una wakati wa kutosha kabla hujajifungua. Ni vizuri kuanza mipango punde tu utakapojua una mimba.
 
Ili kupata mtoto aliye na afya, ni vyema utunze afya yake. Afya ya mtoto wako inategemea afya yako. Katika sehemu hii utapata kujua kuhusu kufunza mtoto wako kabla hujajifungua, dalili za kukutahadharisha, na yale unafaa kujiepusha nayo. Pia utapata ujumbe kuhusu jinsi unavyopaswa kunitembelea daktari na jinsi utachunguza vile mtoto wako unakua.

 

3.5
Average: 3.5 (4 votes)
Your rating: None

This is a truly good site post. Not too many people would actually, the way you just did. I am really impressed that there is so much information about this subject that have been uncovered and you’ve done your best, with so much class. If wanted to know more about green smoke reviews, than by all means come in and check our stuff.
halogen light bulbs

»