Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Afya Ya Uzazi Kwa Wanawake

Wanawake wengi huwa na soni kumueleza daktari shida za kike. Usiogope, hii ndio njia bora ya kufahamu mambo kabla ya shida kujitokeza. Daktari wako atakujibu maswali ya kibinafsi, kukuchunguza ikiwa una mamba au maradhi ya zinaa, mpango wa uzazi na kugundua magonjwa ya kike yanayoweza kuzuiwa mapema.

2
Average: 2 (2 votes)
Your rating: None