Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kumvisha nguo

 

  • Mvishe mwanao na kunjo moja zaidi wakati yu mchanga na jiepushe na kumwacha mwanao kuliko na baridi kwa muda mrefu.
  • Watoto hupoteza joto haraka sana, hivyo hakikisha umewafunika kichwa na miguu
  • Wakati kuna joto jingi, mweke mwanao mbali na jua. Linda mwanao kna nguo za mikono-mirefu(long-sleeve), nyepesi na umweke kivulini
  • Nguo zote mpya zinafaa kufuliwa kabla ya kutumia

 

0
No votes yet
Your rating: None