Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kumliwaza mtoto wako anapolia

Hata kama mtoto haumwi na tumbo , kumnyamazisha motto anayelia ni vigumu sana . Kama umejaribu kila mbinu na hujafaulu , jaribu yafuatayo:

  • Mfunge mtoto kwenye vitambaa au blanketi ili ahisi joto kiasi na atulie.
  • Jaribu kucheza muziki muororo au muimbie nyimbo za kumbembeleza.
  • Mbebe kwa makini au nenda matembezi naye katika gari lako na hakikisha umemkalisha nyuma.
  • Kumkanda mgongoni au tumboni kwa weza kumliwaza hasa kama ana hewa tumboni.
  • Kumnyonyesha kwa weza kutuliza mdundo wa roho yake kutuliza tumbo lake na viungo pia.

Habari njema ni kuwa watoto hupita hatua hii wanapokuwa. Mtoto wako anapokuwa wiki 6 au 8 watakuwa katika hali ya kuweza kujiliwaza na kulia kwingi kutakwisha.

0
No votes yet
Your rating: None