Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kwa Nini watoto Hulia?

  • Njaa: Mtoto anaweza kuwa njaa.Watoto hula kama mara 8 hadi 12 kwa siku wanaponyonya,na mara 6 hadi 10 kwa siku anaponyonya chupa.
  • Napi chafu: Mtoto hana raha anapokuwa kwa napi chafu, akiachwa kwa muda mrefu ataambukizwa vipele.Mbadilishe napi kila wakati.
  • Baridi au joto: Watoto wana ngozi nyororo na hupata baridi haraka.Wanahitaji kufunikwa vyema lakini sio kupita kiasi.
  • Umakinifu: Watoto wanachoka watalia.Mchukuwe na umpapase mgongoni ili afahamu upo.
  • Ugonjwa: Mtoto wako anaweza kuwa mgonjwa ,mtizame joto la mwili na wasiliana na daktari.
  • Hewa tumboni: Watoto wachanga huhitaji kukandwa kila mara au la hewa humjaa tumboni na kumpotezea starehe.
  • Usingizi: Mtoto akiwa amechoka na ana usingizi atalia,jaribu kumlaza apate usingizi. 
Nitafanya nini ikiwa mwanangu bado yuwalia?
 
Pengine hutagunduwa kwa haraka shida zake, umejaribu mbinu zote na hajanyamaza. Anaweza kuwa na msokoto wa tumbo kwa masaa 2 au 3 kwa siku mara tatu kwa wiki. Msokoto wa tumbo humuondokea mtoto anapotimiza miezi 4.

 

 

 
 

5
Average: 5 (1 vote)
Your rating: None