Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Elimu ya kompyuta kwa akina mama wa Sega

Women Using Computers
Sega Information Centre ni kituo cha ujuzi na maarifa kilichoanzishwa kwa nia ya kutoa mafunzo ya Kompyuta kwa akina mama wa eneo la Sega kama njia moja ya kuinua hali yao ya maisha. Kituo hiki kinapatikana katika jengo la Nyamkamba lililo katika soko ya Sega kwenye barabara kuu kutoka Kisumu kwenda Busia.
 
Kituo cha Sega kilianzishwa na kikundi cha vijana kijulikanacho kama Ugenya Community Against Hiv/AIDS UCAHA. Nia yao muhimu ilikuwa kutafuta jinsi shida za kawaida zinavyoweza kutatuliwa na teknologia ya kompyuta na mawasiliano.
 
Vijana wa UCAHA walianza kwa kuchagua kikundi cha wafanyibiashara ndogondogo na kuwapatia mafunzo ya kompyuta na mbinu mwafaka za kufanya biashara. Pia shirika la Digital Opportunity Trust (DOT) liliwafunza jinsi ya kutumia teknologia katika biashara.
 
Baada ya kumaliza mafunzo, wafanyibiashara hawa waliunda kikundi chao kiitwacho ‘BADILIKA’. Wakawa wanakutana kila mwezi ili kubadilishana mawazo kuhusu uendelezaji wa biashara zao na jinsi walivyokuwa wakitumia teknologia ya kompyuta na mawasiliano katika biashara.
 
Ushirikiano na wasaidizi
 
Kama njia moja ya kueneza ujuzi wa biashara na teknologia, kikundi cha UCAHA kiliajiri watu 5 na kuwapatia mafunzo ya uwaalimu yajulikanayo kama TOT – Training of Trainers. Waalimu hawa kazi yao ikawa ni kusaidiana na wafanyibiashara kutafuta suluhu za kiteknologia katika biashara. Kikundi cha UCAHA pia kilipata usaidizi kutoka kwa Sega Silicon Valley wa kufuatilia na kuwahimiza wafanyibiashara kutumia teknologia. Sega Silicon Valley ni shirika linalohimiza mafunzo ya kompyuta.
 
UCAHA na Sega Silicon Valley, walishirikiana na kutengeneza muundo wakitumia programu ya Excel wa kurekodi twakimu na hesabu za uuzaji. Wafanyibiashara walichukua muundo huu na kufuatilia katika biashara zao.
 
Wanawake Kutumia Teknologia katika Biashara
 
Matokeo ya mafunzo yameanza kunawiri. Kwa sasa, kuna wanawake wawili ambao wanatumia kompyuta kuweka rekodi na kufuatilia uuzaji na kutengeneza vibango vya utangazaji wa biashara. Wengine pia wanatumia fomyula za Excel kufanya hesabu za uuzaji wa bidhaa na matumizi ya pesa. 
 
Hapo awali baadhi ya wafanyi biashara walikuwa wakilipia huduma za kompyuta lakini sasa wanauwezo wa kujifanyia wenyewe. Wengine wameanza kujifundisha programu za kuchora na kuunda vibango vya kutangaza biashara. Kwa mfano, mwanamke mmoja akitumia programu ya Publisher aliunda mchoro na maandishi ya kupendeza yaliyochapwa kwa pakiti anazofungia wateja vichopochopo.  
 
Mipango ya siku zijazo
Kikundi cha vijana cha UCAHA kinanuia kutumia tovuti yao www.ucahayg.org kutangaza huduma zao na kutafuta ushirikiano na walio na nia kama yao ya kumia teknologia kujiendeleza. Pia wangetaka tovuti yao iwe kikao cha biashara pale wafanyibiashara wa Sega wanaweza kuuza bidhaa na kuwasiliana na wateja walio mbali hata nchi za nje, kupata habari za biashara na mikopo na pia kiwe kituo cha kubadilishana mawaidha.
0
No votes yet
Your rating: None

Please continue this great work and I look forward to more of your awesome blog posts.
More Info

»

I can see that you are an expert at your field! I am launching a website soon, and your information will be very useful for me.. Thanks for all your help and wishing you all the success in your business.
Continue Reading

»

very interesting post.this is my first time visit here.i found so mmany interesting stuff in your blog especially its discussion..thanks for the post!
Keylogger Detect

»

Great write-up, I am a big believer in commenting on blogs to inform the blog writers know that they’ve added something worthwhile to the world wide web!..
michael fiore online allure pdf reviews

»

Impressive web site, Distinguished feedback that I can tackle. Im moving forward and may apply to my current job as a pet sitter, which is very enjoyable, but I need to additional expand. Regards.
slot

»

This article gives the light in which we can observe the reality. This is very nice one and gives indepth information. Thanks for this nice article.
sewing machine reviews

»

Wonderful article, thanks for putting this together! This is obviously one great post. Thanks for the valuable information and insights you have so provided here.
www.neopaul.com

»

Excellent article. Very interesting to read. I really love to read such a nice article. Thanks! keep rocking.
https://www.rebelmouse.com

»

I haven’t any word to appreciate this post.....Really i am impressed from this post....the person who create this post it was a great human..thanks for shared this with us.
www.primaned.com

»

I think that thanks for the valuabe information and insights you have so provided here.
multiple url opener

»

This is very educational content and written well for a change. It's nice to see that some people still understand how to write a quality post!
bubblegum casting

»