Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Ni zipi baadhi ya ishara za ulemavu wa masomo

Kabla ya shule:

 • Kuchelewa kuongea akilinganishwa na watoto wengine
 • Shida ya matamshi
 • Ukuaji pole wa kutamka maneno magumu, kawaida hawaji kupata neno sahihi.
 • Ugumu wa kutambua maneno tata (vikanza ndimi)
 • Shida ya kusoma nambari, silabi abjadi (alphabet), siku za wiki
 • Ukosefu wa utulivu na rahisi kusumbuliwa
 • Shida kutangamana na watoto wa rika yake
 • Taabu ya kufuata maagizo ama mambo ya kawaida

Standard 3:

 • Huwa pole kujifunza kuunganisha baina ya herufi na sauti.
 • Huhafilisha maneno ya msingi (kukimbia, kula, taka)
 • Anafanya makosa ya kusoma na herufi mfulilizo kuhusisha herufi zilizo na kinyume (b/d), juu chini (inversion) (m/w),
 • Mpole wa kukumbuka mambo
 • Mpole wa kujifunza ujuzi mpya anatengemea sana katika kumbukumbu
 • Anakosa mpangilio
 • Udhaifu wa kushika kalamu ya mate (penseli)
 • Shida ya kujifunza wakati
 • Ukosefu wa muungano, kutojua mazingira na hupata ajali sana.

Mwalimu wa mtoto wako atakwambia akiwa anaona hizi shida darasani, na akupe mawazo kwa mtihani na usaidizi. Kumbuka ikiwa mtoto wako anaonyesha alama moja au mbili ya hizo, na si kila wakati, anahitaji usaidizi mdogo nyumbani au darasani. Ukiwa unashuku tabia za mtoto wako nyumbani, ongea na mwalimu wake ufahamu kama shida hizo zinatokea darasani pia.


0
No votes yet
Your rating: None