Kufanya mitihani ya kujiunga na vyuo vya nchi za ng’ambo
Ikiwa unataka kusomea ng’ambo, yaenda utahitajika kufanya mitihani spesheli ili uruhusiwe kujiunga. Labda utahitajika kufanya SAT au ACT ikiwa unataka kujiunga na chuo kilichoko Marekani au Uingereza na pia nchi zingine.