Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kupata habari na ushauri

Punde ukiwa na maoni kuhusu aina ya taasisi unayoipendelea unahitaji:

 1. Kuongea na Mshauri mwelekezi (Guidance Counselor). Mshauri mwelekezi wa shule ya upili anaweza kuonyesha vitabu na anaweza kukusaidia kutafuta zile kosi wanapopeana na kiwango cha usaidizi wa kifedha unaweza agizia.
 2. Ongea na familia na marafiki waliokuwa wanafunzi wa shule yenu ya upili ambao wameenda kwa masomo ya juu ama bado wanasomea. Waulize vile walivyo amua tu kusoma. Julia kuhusu taasisi zao na waliyoyapenda au wasioyapenda kuzihusu.
 3. Fanya utafiti wako kupitia mtandao. Kuna tovuti nyingi ambako unaweza kupata mengi kuhusu taasisi za elimu ya juu. Pata majina ya taasisi za uma za elimu ya juu na tovuti zake. Kwa mfano, Chuo My Chaguzi husaidia kuchunguza yako chaguzi shule uchaguzi kama una nia ya kusoma nchini Marekani. 
 4. Tembelea vyuo; baada ya kufanya utafiti wako, lazima utembelee baadhi ya chaguo lako la juu. Kutembelea chuo cha mafunzo, pigia simu afisi ya usajili na uwaambie unahitaji kuwatembelea. Watapanga tarehe na siku ya kuwatembelea.

Haya hapa ni mambo unayohitaji kufanya wakati wa matembezi.

 • Ongea na afisaa wa usajili
 • Tembelea chuo kikuu
 • Ongea na wanafunzi ujuwe wanachokipenda na wasichokipenda.
 • Tembelea mabweni
 • Keti katika darasa unalolipendelea
 • Tembelea sehemu tofauti katika eneo chuo kikuu kiko.
   

 

 

1
Average: 1 (1 vote)
Your rating: None