Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kulipia masomo ya juu

Reading

Kulipia masomo ya juu si gharama vile kwa sababu kuwa na shahada,
diploma ama cheti husaidia kupata kazi inayolipa vizuri na dhamana nyingi. Lakini unapataje pesa za kuanzia? Kuna basari na scholarships, na pia kuna Mkopo kwa wanafunzi kupitia HELB (Higher Educattion Loans Board) na benki kadha. Tafuta njia ya kulipia elimu – ni uwekezaji bora unaweza kufanya.
 

2.5
Average: 2.5 (8 votes)
Your rating: None