Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuharibikiwa na Chakula – Food Poisoning

Mtoto wako anaweza kuwa mgonjwa akila chakula kilichoharibika au kinauchafu. Kuharibika kwa chakula husababisha; kutapika, kuhara, joto jingi na hata kuishiwa na maji. 

Jinsi ya kutibu hali hii nyumbani:
  • Mtoto wako akitaka kula mpe mkatemweupe, ndizi au mchele.Vyakula hivi vitamfanya aache kuhara. Usimpe vyakula vya mafuta, vinywaji vilivyo na kafeini kama vile kahawa, chai, soda ya cola na vyakula vilivyo na nyuzunyuzi kama matunda na mbogo hazijapikwa.
  • Mwachilie apumzike
  • Swala muhimu ni kuwaepusha na hali ya kuishiwa na maji
Mpeleke kwa daktari ikiwa:
  • Anaanza kuhara kwa ghafla, kusokotwa na tumbo na kiwango cha joto ni zaidi ya 38.8ºc
  • Ananza kuhara damu
  • Ana mkakamao wa tumbo pamoja na dalili zingine kama kushtuka, kibaridi, maumivu kwa kifua, mdomo kukauka, kutapika, tumbo kufura, uchovu, kuhara damu, ananshinhwa kutupa, anapumua harufu mbaya, kiwango cha joto juu ya 37.8ºc siku mbili.
  • Tumbo huzidi kuuma siku 2-3 baada ya matibabu.
Unatakiwa kupeleka mtoto wako kwenye chumba cha dharura ikiwa:
Anahisi uchungu mwingi unaofululiza, kuanzi kitovuni kuelekea sehemu ya chili upande wa kulia. Uchungu ukiendelea baada ya masaa 3, yawezekana chini ya tumbo hali upande wa chini ya kulia ya tumbo. Uchungu ukizidi baada ya masaa tatu baada ya kuanza huenda kiambatisho (Appendix) kimepasuka.
0
No votes yet
Your rating: None