Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Pata kazi

Hapa zipo njia nne za kutafuta kazi (iwapo unataka kufaulu, tafuta kazi nyingi kadiri ya uwezo wako.)

Tafuta kazi mtandaoni:
Pata orodha ya tovuti utakayotumia kutafuta kazi.

Tafuta kwenye magazeti:
Angalia kwenye kurasa ambapo pamechapishwa aina mbalimbali za kazi katika magazeti yanayochapishwa humu nchini, maarufu kama ‘classifieds’

Jisajili na shirika la ajira (La kuajiri watu):
Waulize watu unaowafahamu kama wana habari kuhusu shirika lolote la ajira.

Mfumo wa Mawasiliano:
Utashangaa kujua kwamba kumfahamu mtu, kunaweza kukusaidia kupata mawasiliano miongoni mwa watu ili kupata kazi.