Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Pata leseni ya dereva

Labda umeona kazi iliyo bora kwako…usipokuwa unahitajika kuwa na leseni ya dereva ama ya usafiri wako binafsi. Pengine unatumia pesa nyingi katika teksi na nauli ya basi.Kila siku unafikiria kwamba ungenunua gari lako ukitumia pesa ambazo umekuwa ukitumia kama nauli.Labda hiyo kazi bora i mbali na ndio sababu ya kutumia usafiri wa umma.Chochote unachowaza, kupata leseni ya dereva itakusaidia kazi nzuri, hata ingawa huwezi kumudu au kugharamia gari hilo kwa sasa. Kwa hivyo utaanzia wapi?

3
Average: 3 (1 vote)
Your rating: None