KenyaBadilisha

Kando na kufahamu yanayoendelea na ujuzi wakujitegemea, kuna baadhi ya ujuzi mtoto wako anahitaji kufahamu kabla hajajiunga na shule kubwa.
Kustawisha hisia na jinsi ya kuishi na watu wengine.
Kujenga ufahamizi (kusikia na kuona)
Kuufahamu mwili wake ulivyo
Kukuza maumbile
Kuongea na ustawishaji lugha
Ujuzi wa kuhesabu
Ujenzi au taratibu za fikira. (Concept formation)