Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Tengeneza mahali bora pa kufanyia kazi za ziada

Kuwa na mahali kimya kwa watoto wako kufanya kazi zao za ziada itawasaidia kumaliza kazi zao. Inawapatia mahali maalum ambapo watoto wako watafanya kazi pamoja. Hivi ni baadhi ya vidokezo vya kuwasaidia kupata mahali bora kwa kazi za ziada.

  • Tafuta maeneo kimya. Tafuta wakati maalum kila siku ikiwa hakuna kelele. Hii inamaanisha hakuna runinga, radio, michezo ya video, kelele, ama ruhusa ya kucheza wakati utulivu.
  • Chagua mahali mwafaka. Dawati katika chumba cha kulala ni bora, lakini kufanya mazoezi, katika meza ya jikoni ama katika kipembe cha sebuleni huwa bora.
  • Hakikisha kunamwangaza wakutosha. Mahali anapofanyia kazi ya ziada lazima kuwe na mwangaza wa madirisha ama taa.
  • Weka vifaa vya shule nyumbani. Lazima kuwe na kibobo (mkebe au kisanduku) cha vifaa karibu, ikiwemo kalamu ya mate, kivutio, kalamu ya wino, karatasi na vyenginevyo.
  • Mtengenezee mtoto wako rafu ya vitabu. Mtoto wako aweke vitabu vya kuthibitisha (Kama kamusi ya kizungu)
    Vya kusoma na vyengine katika mahali maalum.
  • Pambeni mahali pakusomea pamoja na watoto wako. Unaweza kuongeza vibaba vya kuwekea kalamu, picha na kazi za mikono na mmea ama maua inasaidia kufanya mahali pakusomea kuwa bora zaidi.

0
No votes yet
Your rating: None