Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Vidokezo vya kumsaidia kazi ya ziada

Kama mzazi, ni mhimu kujihusisha na elimu ya mtoto wako. Hii ni miongoni mwa kuhakikisha mtoto wako anamaliza kazi ya ziada kwa wakati unaofaa.
Hata kama huongei au hauelewi kingereza ama hujui masomo mtoto wako anayosoma, unaweza saidia pia.
Bonyeza viunganishi vifuatavyo kwa maelezo zaidi.

Usaidizi wa jumla kwa kazi za nyumbani
Pata vidokezo sita vya jumla kuhusu vile utakavyomsaidia mtoto wako.

Usaidizi wa lugha
Muhimize mtoto wako kusoma vitabu awe mwandishi bora

Usaidizi wa hesabu
Msaidie mtoto wako kuelewa na ajifunze kupenda hesabu.

Usaidizi wa sanyansi
Pata maoni ya miradi na mazoezi unayoweza kufanya na mtoto wako.

Usaidizi wa somo la kijamii
Msaidie mtoto wako kujifunza kuhusu tamaduni na lugha fotauti duniani


0
No votes yet
Your rating: None