Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kujenga ufahamizi (kusikia na kuona)

Saidia mtoto wako kujenga ujuzi wa kusikiliza kwa:
Kujenga ufahamizi kunamaanisha

Kuwa na wakati na mtoto wako. Nyote wawili fungeni macho, halafu jaribu kuona ni nani anaweza kutambua sauti. Imbeni nyimbo na michezo ya chekechea pamoja huku ukimufunza mtoto wako. Cheza mchezo wa kuhesabu (hii inasaidia ujuzi wa nambari)
Cheza mchezo wa kufananisha sauti kama vile, neno ‘kuku’ lina lingana na neno lipi? Zungumza na umpigie hadithi mtoto wako.

Unaweza saidia mtoto wako kwa kumjenga uwezo wa kuona kwa:


Kutazama picha pamoja na kutafuta vitu katika picha. Kucheza michezo ya kumbukumbu. Muonyeshe mtoto wako vitu vidogo, kisha ficha halafu uone vingapi anaweza kukumbuka. Wacha mtoto wako akusaidie kulinganisha soksi zako, au mazoezi mengine ya kulinganisha. Unaweza kufanya hivyo na shanga, viungo, bloki na vitu vyengine. Cheza mchezo wa kurusha na kunyaka – mpira wa maharagwe na mipira ya tennis ni mizuri kwa watoto wadogo.

 

0
No votes yet
Your rating: None