Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuufahamu mwili wake ulivyo

Mtoto wako anahitaji kuelewa vile mwili wake unavyokaa na unavyoenda.

Unaweza msaidia mtoto wako kuupenda mwili wake kwa:
Kusimama pamoja mbele ya kioo na kutaja “kisukushku cha mama, kishkushku cha Asha, goti la baba, goti la Otieno na vingine.

Mwambie mtoto wako afumbe macho na ataje viungo vyake vya mwili unapovishika.
Fanya mtoto wako achore picha zake ama za watu wengine. Kawaida toa kashfa nzuri kuhusu picha. Kwanza, halafu unaweza kuongea “nashangaa unaweza je kunusa bila pua?” ama “Na je, kuchora miguu ndio mtu wako aweze kutembea vizuri?”

Chezea “vioo”; simama uso kwa uso na mtoto wako. Inua mkono au mguu ama weka uso wako, na umwambie mtoto wako akuige. Zidi kuendelea, ukitumia viungo tofauti vya mwili kwa njia tofauti.

Unaweza msaidia mtoto wako kufahamu vile mwili unavyokwenda kwa:
Kumwambia mtoto wako aende mbele, nyuma na kando halafu aruke juu na chini na upande.

Kuzungumzia vile vitu vilivyo juu ama chini, ama karibu na vitu vingine.
Ambia mtoto wako aketi mezani na umuonyeshe vile kisu na uma lazima ziangalie upande mmoja. Unaweza kuambia wapange vitu viangalie upande mmoja.

0
No votes yet
Your rating: None