Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Nitafanya nini kuwa kwa SAT and ACT?

Soma zaidi – Unahitaji kuwa na maneno ya lugha na ufahamu vifungu unavyosoma na hadithi kufanya vyema katika hii mitihani. Soma zaidi uwezavyo uboreshe ujuzi.

Fanya mitihani mapema - fanya majaribio haraka iwezekanavyo (kawaida katika mwaka wako wa kwanza shule ya upili). Kama hutafanya vyema kama ulivyotaka, utakuwa na muda mrefu kufanya tena.

Pata mapumziko bora usiku – ni vyema kupata usingizi mzuri usiku kabla ya mtihani. Hivi itakufanya uwe makini.

Tulia tuli - watu wengi hawafanyi vyema kwa sababu wa mejawa na uwoga na wasiwasi. Ukitulia utakuwa na wakati mzuri wa kufanya mtihani. Usijali. Unaweza kufanya tena.

 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None