Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Habari zaidi

Je ninaweza kufanya mtihani zaidi ya mara moja? Ndio. Haitakudhuru ukifanya SATs ama ACT zaidi ya mara moja.

Baadhi ya shule hujumlisha matokeo yako kwa kila unapofanya mitihani. Lakini shule nyingi zina chukua matokeo bora zaidi, na kutazama ni mara ngapi umefanya mtihani.

Zingatia: Fanya mitihani mapema, kama hutafanya vyema kama ulivyotaka, unaweza fanya tena.

Matokeo yangu ya SAT na ACT yana umuhimu gani? 

Yanajali, lakini swala kama unaenda ama hauendi shule hayataundwa kwa msingi wa matokeo yako ACT na SAT. Vyuo vya mafunzo pia huangalia gredi yako ya shule, aina ya mafunzo uliochukua katika shule ya upili na shughuli za kijamii (kama vilabu, muungano na michezo). Vyuo vingi vinaangazia kujua kila kitu kuhusu mwanafunzi, sio kupita mtihani pekee.  

 

 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None