Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kufanya majaribio katika vyuo vya nchi za nje

Kuna njia nyingi za kujitayarisha kufanya mtihani. Baadhi ni bure na nyingine zinatozwa zaidi ya Kshs. 1,000. Haya ni baadhi ya bure utakayochagua mwanzoni.

1. Fanya mihani mdogo wa bure kwa mtandao ukupe maoni kwa maeneo magumu (kama lugha) na yapi unahitaji kufanya (akisami) hii itakusaidia kujitayarisha kwa mtihani wako utakaofanya.

Fanya mazoezi rasmi ya mtihani wa SAT

Fanya sampuli ya mitihani wa ACT.

2. Pata mwongozo wa bure. Moja ya masomo bora ni bure! Mwalimu wako wa kuhuongoza na kukufanya anaweza kuwa na muongozo wa SAT na ACT. Unaweza kupata hivi vitabu katika maktaba ya uma.

3. Lipia masomo ya mtandao, huduma ya mtihani, ama vitabu kawaida ni ghali kujiunga na madarasa ama mitihani ama kununua vitabu vya mtandao. Lakini ukitaka kujaribu hii, kama maeneo yakutembelea:


Usajili wa mtihani wa Kaplan
Mitihani 4.10 m
Marejeleo ya Princeton
 

 

0
No votes yet
Your rating: None