Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Vidokezo vya ombi la ufadhili wa masomo

Usingoje hadi wakati wa mwisho-fanya utafiti wa usaidizi wa kimasomo mapema.
Soma kwa makini maagizo yanayohitajika kwa makini. Unahitaji kuhakikisha kwamba unahitaji usaidizi wa masomo kama huna uhakika, muone mdhamini wa usadizi bila kuchelewa.

Jiandae: Weka stakabadhi zote na makaratasi yako unayohitaji unapoandika ombi lako katika bahasha moja. Kawaida wanafunzi wanahitajika kupatiana yafuatayo:

  • Matokeo yako ya shule ya upili
  • Thibitisho la kuhitaji fedha - hii ni miongoni mwa maelezo kuhusu hali ya kifedha ya wazazi wako.
  • Maelezo ya wazazi ya kifedha, miongoni ni kadi ya malipo.
  • Insha moja au zaidi
  • Barua ya wasifu (hizi zinaweza kutoka kwa mwalimu wako mkuu, walimu, kasisi wa kanisa na watu uliwafanyia kazi na wengineo)

Pitia barua yako kwa makini ukitizama makosa.
Hakikisha umejaza karatasi ya ombi lako kama huna uhakika kuhusu sehemu fulani, muone mdhamini wa usaidizi.
Fuata maagizo, usiandike insha ndefu ama usiongeze mambo ambayo huja ulizwa.
Kawaida piga chapa na toa nakala ya fomu yako na insha zako.
Toa nakala ya barua ya ombi na stakabadhi za kutiwa mkazo.
Kabla hujatuma ombi lako, hakikisha unaiangalia kwa nyingine.
Tuma ombi lako mapema iwezekanavyo.

1.77778
Average: 1.8 (9 votes)
Your rating: None