Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kutunza na kuhifadhi maji na udongo

Zaidi ya asilimia 80 ya wakenya hujikimu kupitia kilimo. Ni asilimia 17 pekee ya ardhi nchini Kenya inayofaa kwa kilimo. Kutokana na ukosefu wa nafasi na kuwepo kwa watu wengi uharibifu wa mazingira ni jambo ambalo haliwezi epukika. Hii ndio sababu katika sehemu hii ya ufugaji wa nyuki, tunaangalia njia za kutunza na kuhifadhi udongo na maji ili kuimarisha uzalishaji na kulinda mazingira.