Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mmonyonyoko wa udongo

Mmonyonyoko wa udongo kupitia njia ya maji husababishwa na mvua inayobomoa na kuusafirisha au kuusomba mchanga wenye thamani na kiwango kikubwa cha virutubishi,moja kwa moja kwa njia moja za matone ya mvua au kupitia mmonyonyoko wa vijiyo na mfereji au mtaro.

0
No votes yet
Your rating: None