Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mbubujiko wa mvua

Mvua huweza kusomba mchanga moja kwa moja , hii huitwa ‘mmonyonyoko wa matone ya mvua’ (au mmonyoonyoko wa matone) matone hutokea iwapo tu mvua inanyonyota au kuanguka kwa nguvu za hali ya inapofanya hivyo ,basi matone ya mvua za hugonga (hogota) kwenye ardhi bila mmea,harafu nguvuu za matone hayo maarufu kama kainetiki huondoa sehemu ya ardhi/hutenganisha sehemu ya ardhi mbali kidogo.

Kwa sababu vidonge vidogo vya mchanga huweza tu kusongezwa sentimita chache kupitia mgongo wa tone ,athari zake huwa tu kwenye sehemu ya mgoto ingawa sehemu kubwa cha kipande cha udongo kinaweza kuondolewa na kusongezwa nna tone la mvua kawaida hundi na kusambaaa kwenye ardhi (kwenye mteremko,hata hivyo kutakuwa na mfuatano wa kuporomoka kwa udongo na baadaye kuteremshwa na maji kwenye sehemu iliyo na mtetemeko)

Hata hivyo, kauli moja bainishi huweza kuwa ‘usambasaji wa matone ya mvua’
Kwa sababu tone la mvua huhitaji kiasi kikubwa cha mvua, husababisha haya kwa kufuatana na ngurumo za radi katika maeneo la ikweta ya dunisa, tone la vua haliwi na athari yoyote pale panaponyesha kiasi(kwa mfano, kwa sababu mvua ni chimbuko la kimbele au ya mwanzo), kama vile kaskazini magharibi mwa marekani au kaskazini mwa unngereza.

0
No votes yet
Your rating: None