Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mmonyonyoko wa kijito na mfereji/mtaro

Mmonyoko wa udongo

Mvua huweza kosomba mchanga bila kufuata mkondo wa moja kwa moja,kupitia mbubujiko wa maji ya vijito (mifereji midogo) au mitaro (mifereji mikubwa, mikubwa zaidi kiasi cha kutolewa machine za kulima) katika sehemu nyiingi za dunia, mmonyonyoko wa vijito na mifereji ni aina moja kuu inayoongoza katika mmmonyonyoko wa maji.

Sehemu ya isiyopenya mchangani huelea ardhini kwenye eneo lililo na mtetemeko kutokana na nguvu mvuto wa dunia, halafu huitwa ueleaji wa maji au mbubujiko wa maji, usombaji wa maji huweza kutokea kwa ajili ya sababu mbili ya kwanza iwapo mvua itafika kwa haraka sana (yaani kwa nguvu nyingi)ili kupongeza ardhini: ueleaji wa maji ambao husababishwa huitwa upenyaji wa maji ya zaidi. Pili usombaji huweza kutokea kama ardhi imevuta kiasi cha maji ambayo inaweza kumudu kubeba ( yaani imekolea maji,mchanga ni nyevunyevu, usombaji unaosababishwa kutokana na hali kama hii huitwa ukoleshaji zaidi wa msombo.
Msombo unapoelekea upande wa chini wa mteremko

Topografia ndogo (the small –scale pattern of irregularities) ya sehemu ya juu ya ardhi husababisha kuelekea kwa maji ardhi kuelekea kwenye mashimo ,ambao kadiri muda unavyosonga hujaa:hii huitwa storage au ‘ponding’ maji yanayobubujika nay ale yaliyozuiliwa huzuia mchanga kutokana na athari za matone ya mvua ili matone hayo ya mvua kusabazwa kila mara kuupungua kwa kipindi Fulani bila ngurumo,kina cha maji kinapongezeka ,hata hiiyo kuna uhusiano tunzu kati yam atone ya mvua na mbubuiko wa maji.

Kama mvua inaendelea ,kina cha maji ardhini kitazidi kuwa juu kwenye mabonde ya madogo madogo ya kitopografia , mbubujiko kwenye ardhi unatolewa kwa njia kama una uwezo wa kububujika kuelekea maeneo ya chini yam lima kwa kiasi kikubwa (yaani huwa na nguvu nyingi za kainetiki) na hivyo kuwa na uwezo mkubwa wa kuanza kubeba na hata kupomwa sehemu ndogo ndogo za ardhi (viande vidogo vodogo vya mchanga ) inapofanya hivyo , sehemu ya juu ya ardhi inaweza kurudishwa chini ndogo.sehemu ya ardhi iliyorudishwa chini ama kupunguzwa hhunda vinjia ambavyo huja rahisi maji kupata vijia hivi huendelea kusombwa na maji yam mea na kuzidi kupanuka zaidi. Hatimaye matokeo haya mazuri huwepo kwa kiwango cha chini zaidi ambapo huibainishwa kama mfululizo wa msombo na kuelea kwa maji ardhini (vijito vodogo vidogo au ‘traces’)

Mara nyingi,vijito vidogo vidogo vya kipekee haviwi vya maana muda unapozidi kusonga kwa minjili ya mrudikano wa mchanga.hata hivyo alama ya kijito kidogo hukua vijito: na hayo alama ndogo ya vijito hukua na mfereji au mitaro .hali hii ya ‘ushindani’ kati ya vijito vidogo na vijito vya kawaida huchangia kwa kupeleka kwa mitandao ya mfereji ya mmonyonyoko (dendritics kwenye sehemu ya juu ya ardhi ambayo nim asilimia : constrained by the direction of tillage kwenye udongo/mchanga ya kilimo) ambazo huunda vijia vya kutolea maji kutoka.

Ni kupitia mifereji hiyo ya kimomonyoko ambapo mmonyonyoko wa maji hupata fursa nzuri ya kubomoa ardhi na kusongeza kwa kutumia nguvu za kainetiki, katika hali nyingi, mmonyonyooko wa maji ndicho cahnzo kikuu cha mmonyonyoko wa maji.

Mifereji ya kimmonyonyoko nayotawaliwa na mbubujiko wa maji hutengwwa na sehemu za vijito ambapo hali zinazongoza ni matone ya mvua na ueneaji wa maji yanayotoka kwenye sehemu ndogo hadi kubwa ardhini ,hata hivyo,mipaka kati ya vijito na sehemu za viijito zote hubainishwa vibaya na kubadilishwa kithabiti.

Katika hali Fulani mbubujiko wa maji kati kati ya sehemu ya juu ya ardhi huweza kuwa na maana kutathamini pale ambapo mmonyonyoko wa mfereji utaanzia na kukua (kwa mfano,kwenye msingi wa mitetemeko ya ardhi, na maeneo yenye kina kirefu cha udongo kama tropical saprolites)

Mifereji ya kimmonyonyoko hupanuka kwa kiwango (ukubwa)hukua na kuwa na vijijito vikubwa na mitaro) hali kama kuvunjika kwa kuta na sehemu za juu za mifereji kutokana na nguvu za mvuto wa tumia kuongeza ni muhimu sana . uenezaji na sehemu ngumu ya ardhi inayotokana na mrundikano wa mchanga kutoka kwa vijito ni mitaro huweza kusongezwa hadi kwenye mitaro mikubwa na mrefu,vidibwi na mito na kusafirishwa vizuri sehemu asilia. Hata hivyo, sehemu ngumu ardhi kutokana na mrundikano wa mchanga huwaza kuwekwa katikati ya kijito au mitaro.bila ya kijito au mitaro. Hapa huweza kuhifadhiwa kwa muda unaobadilika badilika san asana inawezekana kupitia shughuli za ukulima shambani, mpaka pakle tuko jingine la mmonyoonyoko ni la kubwa kumeza kusomba sehemu ngumu ya ardhi iliyojiunda kutokana na kurundikana kwa mchanga. Huweza tena kusimikwa kwenye mapato ya maji kuchukua siwani au baharini

Athari ya mmonyonyoko wa udongo katika mahali pa mmomonyonyoko
Athari kuu ya sehemu mmonyonyoko ni kupungua kaw kiwango cha uzalishaji wa udongo ambayo hotokea kutokana na kuharibika /kupotea kwa vituribishi vlivyoko kwenye sehemu ya juu ya ardhi na vile kupunguza kiwango cha mchanga kubeba udongo uliosombwa.Katika maeneo mengi yanayokumbwa na tatizo hili duniani, athari za mmomonyoko katika maeneo haya yanakisiwa kushuhudia mimomonyoko yenye kasi zaidi huweza kudhibitiwa kupitia ongezeko kubwa la matumizi ya mbolea ya kujitengenezea,hata hivyo hii sio njia kwa idadi kubwa watu duniani katika sayari hii.

Uondoaji wa sehemu ya juu ardhi iliyosheheni virutubishi na mmomonyoko huchangia kudorora kwa kiwango cha uzalishaji wa udongo haufanyi vema kwa kilimo na mimea mingine.Hii ni kwa sababu ya kusumbwa kwa sehemu ya juu ardhini iliyosheheni virutubishi vya muhimu vinavyo tumiwa na mimea,yaani madini muhimu vile vile kwa sababu sehemu husishwa ya ardhisera hubebwa upesi.Michanga iliyosombwa hupunguza makali ya usazo kwa kipindi Fulani na kawaida kupunguza uwezo wa kubeba maji kwa njia nyingine kimaelezo,mmomonyoko huondoa sehemu rotubishi ya udongo,ongezeko la matumizi ya mbolea kujitengenezea huweza kumeesha udongo katika hali yake ya kawaida na kufanya haliu za uzalishaji kuwa shwari. Hili halifanyiki katika mataifa yanayoendelea ni shida ya muda mrefu.Kimataifa arthi za kimomonyoko zaweza kuwa tishio la muda mrefu katika uzalishajiwa kilimo ambao hutokea kutokana na maeneo ya mmonyonyoko wa,uharibifu unaosababishwa.

Kawaida mimea hutegemea sehemu ya juu ya ardhi ambayo mara nyingi hukubwa na tatizo la mmonyonyokowa maji na upepo. Katika dhana hii ,mmonyonyoko huondoa sehemu rutubishi ya udongo shughuli za ulimaji wa shamba uchanganya na kusambaza udongo upya,na kusababisha vipande vidogo vidogo vya mchanga kwenye sehemu zinazoonekana kuwa za kitopografia katikati mwa shamba.

Uharibifu wa sehemu za athari za mmoonyonyoko wa maji ,katika khali ya kupunguza mazao ya kilimo hutambuliwa vema katika mataifa yaliyoendelea barani afrika na asia ,lakini hata katika mataiifa yalioendelea duniani ni jambo lililo na mshawishi. Mmonyonyoko wa maji ni sehemu zaidi katika mataifa ya Australia,new Zeal na sehemu za marekani kusini na mashariki mwa uingerza (kawaida huja kutokana na mashamba ya zamani ya serikali)

Katika maeneo yanayokubwa na jinanizi la mmonyonyoko wa maji yakiwemo mataifa yanayokubwa na tatizo hili ,uzalishaji huweza kudumishwa kwa muda mfupi hadi wa wastani kwa kuongeza kiwango cha utoaji mbolea
Hata hivyo athari za mmonyonyoko hazikubaliwi na wakullima wengi katika mataifa ya yaliyoimarika katajiri. Mpango huu hata hivyo hautambuliki kwa mujibu wa mmonyonyoko kutoka mataifa yaliyoendelea.

Athari za mmonyonyoko wa udongo nje ya mahali panapomomonyokwa.

Zaidi katika athari zake kwenye sehemu zinazomomonyoka ,udongo unaondolewa kutokana na maji yanayububujika kwa kiasi au upepo wa kiasi,ambapo mmonyonyoko huweza kusafirisha/kubeba udongo katika masafa marefu, hili ni hutoa mwanya kwa sehemu zilisopomonyonyoka kupata shida

Athari muhimu za mmonyonyoko wa maji kwenye maeneo ya yasiyomomonyokwa ni kusongezwa kwa sehemu ngumu ya ardhiiliyoridikwa namchanga na kuunda sehemu ngumu ya ardhi na kuchafua maji ya kunywa pamoja na kilimo, hili linaweza kuchangia kuporomokwa kwa mabwawa ya maji, kuharibu mazingira wanyama wa majini kwenye siwa mbalimbali,na kuchafua maji ya kunywa. Kufikia hali Fulani, ongezeko la mafuriko mitoni huweza kutokeza kwa sababu ya kupunguzwa kwa mchanga uliosombwa kuvuta maji.

Athari nyingine ya maeneo yasiyoporomoka ni kemikali za kilimo ambazo husongezwa ni sehemu ngumu ya ardhi iliyosombwa. Kemikali hizi huingia katika mito na mikondo ya maji na badaye kuchafua maji.

Pale panapokuwa na matumaini ya hali ya juu ya kemikali ilivyo mataifa yanayojiweza
Gharama ya otoaji vichafunzi maji huzingatiwa kuwa bora.
Hata hivyo, athari za maeneo panapokuwa na mmonyonyoko wa udongo katika siku za hivi juzi juzi ni shida kwenye mataifa yanayoendelea shida aina phivyo zitakuwepo tu kwa kipindi kirefu siku za usoni kwenye maeneo yanayoendelea ikiwa katika hali hiyo athari hizi zipo njia ya upeo wa waundaji sera.

Kwa kipindi kifupi ,athari ya maeneo ya mmonyonyoko huweza kutambuliwa kwa mataifa yaliyoendelea. Athari hizi huweza kuwa dereva kwa mabadiliko ya kisera katika mataifa kama hayo.

Mmonyonyoko wa udongo ni nini?
Udongo huondolewa ulipo kwa nguvu za maji na upepo:’msingi’ kama huo, (au kijeolojikali) mmonyonyooko wa udongo umekuwepo kwa miaka milioni 450 tangu ardhi ya kwanza ya mimea iliponda udongo wa kwanza.
Hata kabla ya hili, hali asilia iliondoa mwamba mtepetevu; au regolith, kando ya sehemu ya juu ya ardhi , kama iliovyosikia kwenye sayare ya mars.

Kwa ujumla, mmonyonyoko kimsingi huondoa udongo juu wakati huo udongo ukiandwa,lakini huwa mmonyonyoko wa udongo wa kiasi udongo hupotea haraka kuliko unavyounda –hii ndio shida ya shida ya hivi juzi juzi hivi punde.
Na nikutokana na shughuli za mwanadamu zilizo mwafaka, kama ulishaji kupita kiasi au mifumo mibaya ya ukulima. Hii huliacha shamba katika hali isiyokuwa na usalama na kukumbwa na shinda.

Halafu, nyakati za mvua ya kimmomonyoko au za radi, udongo unaweza kuondolewa, kusombwa na (sanasana kupelekwa mbali) kurundikwa mahali.

Ukasi wa mmomonyoko wa maji au upepo huweza kulemaza maeneo ya kilimo na mazingira asilia na ni mojawapo ya shida za kimazingira zinazotanda siku hizi (mahali ambapo udongo huondolewa) na pale ambapo sio mahali mmomonyoko) na pale( yaani popote udongo unaosambwa unapopundishwa)

Juzi juzi, utekelezaji wa nguvu wa kilimo katika maeneo ya ulimwengu yalichangia kuharibika kwa udongo kuekelea chini miteremko kutokana na nguvu za mvuto wa dunia; hii huitwa mmonyonyoko wa kughulika za kilimo

Mmonyonyoko wa udongo ni mmojawapo ya aina ya udororoshaji wa udongo. Sampuli nyinginezo za mdororo wa udongo/mchanga ni utoaji Mwingi wa madini ya chumvi udongoni, ufifiaji na utandazi.

0
No votes yet
Your rating: None