Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ufugaji Wa Sungura

Rabbits

“Mimi siendi kwa duka kununua nyama, nikitaka nyama nachinja sungura yangu, marafiki wakija kwangu nawapikia mzuri, nimeonyesha watoto wangu na bibi yangu kupika marafiki wakija kwangu wanauliza ikiwa ni nyama ya kuku nawambia ni sungura”

Bw. Francis Wachira huishi katika kijiji cha Madaraka karibu kilometa tatu kutoka mji mkuu wa Nairobi. Bw. Wachira ni mfugaji wa sungura karibu miaka saba iliyopita. Alipoanza hakuwa na ujuzi wa kufuga sungura hata hivyo alikufuga sungura kwao kijijini akiwa kijana mdogo na ndiposa alipohamia Nairobi alipata hamu ya kufuga sungura alipopata rafikiyake moja Nairobi akifuga sungura. Alipata ushawishi zaidi tembelea tajiri mmoja aliyefuga sungura, hii ilikuwa dhihirisho kwamba ufugaji wa sungura si kazi ya watoto bali watu wazima pia wanaweza kuzingatia shughuli hii kwa manofaa zaidi.

2.333335
Average: 2.3 (12 votes)
Your rating: None