Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ufugaji wa nyuki

 

Ufugaji wa nyuki ni shughuli muhimu inayosaidia jamii kujipatia mapato ya ziada ili kuboresha maisha yao.Nchini Kenya, takriban asilimia 80 ya ardhi inafaa katika ufugaji wa nyuki.     

Ufugaji wa nyuki ni mfumo wa kilimo unaohimili na wenye manufaa kwa mazingira.Ufugaji wa nyuki huwapatia watu walio ndani ya umaskini mapato ya ziada ya mara kwa mara,husaidia mazingira na huwa na manufaa mengine:   

Ni ghali.Watu binaafsi ama mashirika ya kibinafsi kama makanisa,makundi ya wanawake,makundi ya vijanasna vyama vya       mashirika vinaweza kuanza na kiasi kiodogo cha pesa.

HaihitaJI ulishaji wa jumla wa nyuki kwani nyuki hujitafutia  chakula chao kwa mwaka mzima.

Mizinga inaweza kutengenezwa na mafundi wa humu nchini ingawaje baadhi ya vifaa vinafaa kuagizwa kutoka ng’ambo.

Haihitaji ardhi,kwa hivyo wale wenye rasilmali chache wanaweza kushiriki. 

 

Taarifa hii imechapishwa katika mitandao ifuatayo:

 

0
No votes yet
Your rating: None