Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Jinsi ya kupata leseni ya kupelekisha gari nchini Kenya

Driving Licence
 • Uwe na miaka 18 au zaidi.
 • Amua unataka kujifundisha kupeleka nini - gari ndogo, pikapu, lori, trela, trekta au pikipiki.
 • Nenda kwa shule halali ya kufundisha dereva na ujuandikishe.
 • Ukijisajilisha katika shule ya udereva, utapatiwa kibali cha kupelekisha gari cha mwanafunzi
 • Soma masomo kumi na manne ambayo utafundishwa kupelekisha gari njiani na katika darasa pale utafundishwa ukitumia mchoro wa barabara masharti na sheria za kupelekisha gari nchini Kenya.
 • Ukimaliza masomo, utafanya mtihani.
 • Mtihani hufanyishwa na idara ya polisi ya trafiki
 • Shule yako ya udereva, itakuandisha ufanye mtihani katika kituo cha trafiki cha kutahini kilicho karibu
 • Vituo vya trafiki vya kutahini madereva hupatikana katika makao makuu ya wizara. Jijini Nairobi kuna vituo viwili, Karen na Thika Road.
 • Ukipita mtihani, utapatiwa leseni ya dereva ya muda ya kusimamia miezi mitatu.
 • Baada ya siku 21, utapata leseni yako kupitia njia ya posta.
2
Average: 2 (2 votes)
Your rating: None