Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kutoka ngazi ya chini hadi ile ya juu

Utangulizi: Huyu ni wewe?
Je, unafanya biashara ya chini kwa chini ama ya wikendi? Yatazame maswali yaliyopo hapa chini uone kama unajitambua mwenyewe.

  • Umejawa na furaha jinsi uliyobadlisha mazoea yako kwa pesa taslimu kutokana na mauzo ya vitu ndani ya nyumba yako au kwenye mtandao, kuingiza vitu,kutoa ushauri na mengine kadha.
  • Unaona fahari kubwa kutengeneza/ kupata pesa ili kufanyia uyapendayo.
  • Unafikiri ungepata riziki kwa biashara yako ya wikendi.
  • Pengine huenda umefikiria kuhamisha biashara yako ya wikendi au ile ya chini kwa chini kufanywa saa zote. Je, unafahamu kwamba utafanya mambo mengi kitofauti, lakini huna habari,kumbe hujui utatekeleza vipi.
  • Hakika hujui mabadiliko hayo ni yapi au ni kwa namna gani yatakavyokuathiri. Tofauti inaweza kuwa kubwa mno katika kiwango/misingi ya saa na pesa. Kwa hivyo inabidi ujue unapoelekea.
0
No votes yet
Your rating: None