Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuwa na Mtazamo Jasiri na Mzuri

Jitazame:
Kuanza biashara yako ni changamoto kubwa. Unahitajika kuwa na ujasiri wa hali ya juu ili wazo lako kufaulu. Hii ni bora unapoamua kukadiria hasara na kuanza. Lakini huwa bora zaidi unapouza mawazo yako kwa wengine. Lazima uonyeshe ujasiri unapowaomba watu msaada wa pesa na zungumza na wateja maarufu kuhusu ubora wa bidhaa na huduma yako. Kama u jasiri, moja kwa moja na sawa, wewe na biashara yako utatambuliwa.

Mtazamo mzuri/chanya utakusaidia kukabiliana na watu ambao hawafurahikii biashara yako ilivyo kwako wewe. Rafiki zako na familia hawawezi kujua sababu ya kuchukua hasara hii kwa mara ya kwanza.

Wanaotoa msaada wa kifedha watakuuliza maswali magumu kwa madhumini ya kutaka kujua kama biashara yako ina uwekezaji mwema. Na wateja wako watakuambia kawaida kwamba hufanyi vizuri.
Uwezo wako wa kuonyesha watu ulivyo jasiri na jinsi biashara yako inaweza kuwa, huzua mabadiliko.

0
No votes yet
Your rating: None