Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuratibu Maswala ya Kupewa Kipaumbele

Unapoanza biashara mpya, unaweza kuwa na shida ya kushughulikia maswala ya kwanza. Kuwa na mengi ya kufanya ambayo hutajua ni wapi na ni vipi utaanza.

Katika kitabu cha Convey, “Maswala ya kwanza, kuanza.” anasema “Ili kupanga wakati wako vizuri.” Hoja kuu au cha mno ni “La muhimu liwe la muhimu.” Ni lipi swala la muhimu ? Je, ni kile ‘kinachotarajiwa’ muda mfupi ujao ? Je, ni kile mtu anayepaaza sauti anauliza ? Convey, anaamini kuwa azimio kuu sharti lithibiti maswala unayonuia kuyatekeleza kwa nafasi ya kwanza : ‘Hatua ya kwanza ni kuunganisha jambo lililo na uzito maishani mwako kwa ujumla. Tathmini picha kubwa. Unachozingatia, kinachofanya nyakati zako za maisha kuwa za maana.’ Hili ni jambo zuri kwa kuwa linakusaidia kuangazia kazi ya majukumu yako kwa mujibu wa malengo yako, kuliko kile kinachohitajika kwa wakati uo huo.

Watu wengi hurukia au hung’ang’ania moja kwa moja miradi na kazi kidogo kidogo, mambo ambayo wanaona ni sawa kuyafanya iwapo utapanga fikira zako kwa njia hii, sharti uangazie picha ya kwanza mwanzoni. Fikira kuhusu mchoro au umbo lenye pembe tatu lililopinduliwa. Unapoendelea chini, jaza miradi midogo midogo na maoni yako. Bado ukishikilia ‘Maswala ya kwanza, kuanza’, utahakikisha kuwa maswala nyeti yametekelezwa.
 

0
No votes yet
Your rating: None