Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Vidokezo Vya Mauzo ya Bei Rahisi

Jifunze kuhusu mauzo yanayoweza kugharamiwa na matangazo mbadala, namna ya kutumia barua pepe ya kawaida na ile ya elektroniki kwa madhumuni ya kuinua kiwango cha biashara, mawasiliano, kuunda bodi ya ushauri, na kutambuliwa kama mjuzi /mtalaamu.

Bei ya chini ya 42, matokeo ya juu ya vidokezo vya mauzo
Baadhi ya vigezo vizuri vya mauzo ni bila malipo au vipo kwa bei ya chini kabisa. Kuwa mbunifu kuhusu jinsi ya kupata neno bila kuvunja benki.

Toa matangazo kwenye bajeti yako
Hustahili kutumia maelfu ya pesa kwa matangazo kwenye runinga au televisheni ili kupata watu wanaozungumzia biashara yako. Anza kienyeji, anzia chini, kuwa mbunifu..toa vijikaratasi vilivyo na ujumbe,vyombo vya habari vya kienyeji na ushikamano mzuri utakupeleka mbali.

Vidokezo vya mauzo vinavyotia wasiwasi lakini vipevu
Chukua nafasi na ujaribu kitu kingine tofauti. Huhitaji kupata watu wengi wa kukufanyia matangazo kama unawaza vizuri.

Yakufanywa na ya kutofanywa kwa barua za moja kwa moja
Tambua ni gani inafanya na ni gani isiyofanya katika kampeni za barua za moja kwa moja.

Kabla hujaweka vipandiko vya matangazo
Kutoa matangazo ni njia moja nzuri ya kuwafikia wateja au hadhira yako. Inaweza kuwa ghali, kwa hivyo hakikisha kwamba una malengo yaonekanayo na yaliyoshughulikiwa kabla ya kupandika tangazo.

Sheria ya mawasiliano
Kupata mwongozo kuhusu kutumia mawasiliano ya kibinafsi na ya kitaalamu huimarisha biashara yako.

Mpango rahisi wa kufanya mauzo
Jifunze jinsi ya kutengeneza mpango mzuri na kalenda au takwimu. Zilizoratibiwa vizuri kuafikia malengo.

Bodi ya ushauri ni nini na kwa nini ninahitaji moja ?
Mashirika makubwa hutegemea bodi za washauri wanapotaka kutekeleza maamuzi maalum. Unaweza kufanya vivyo hivyo kwa biashara yako na hustahili kufanya peke yako.

Wacha watu watambue kwamba wewe ni mtaalamu

Watu wakikuona, wakikusikia na wasome unachoandika, wataanza kukufikiria kama mtalaamu katika kazi yako. Jifunze namna ya kuanza na kufaulu kuwa mtaalamu.

Mauzo kwa njia ya kutumia maneno ya mdomo
Tambua jinsi ya kupata manufaa mazuri, rahisi kwa njia ya kutangaza biashara yako.

0
No votes yet
Your rating: None