Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kutumia mtandao kwa biashara yako

Tumia sehemu hii ili kuelewa jinsi ya kutumia teknolojia kujenga biashara yako. Jifunze kuchagua sehemu nzuri za tarakilishi za “Hardware “na “software” kwa mahitaji yak , kutoa matangazo mtandaoni, kutuma majarida ya eletroniki na kutumia mtindo mzuri wa kukuza biashara yako.

Kwa kuzungumza kiufundi unahitaji nini?
Mahitaji yako ya kiteknolojia yanategemea aina ya biashara unayoendesha. Tafuta mbinu mwafaka za kuendesha biashara yako bila kununua vitu vingi visivyo vya lazima na vifaa vya bei ghali.

Vifaa vya teknolojia vya kuafikia mahitaji yako ya kibiashara
Unaweza kuwa kwenye barabara, kufanya katika afisi iliyoko nyumbani kwako, au kusafiri kote nchini ukiendesha kampuni yako. Jifunze kuhusu vifaa (vyombo) unavyohitaji ilikuwa sambamba na wauzaji, wat eja na waajiriwa wako.

Kuanguka kwa nguvu kifundi kwa mmiliki wa biashara ndogo
Kama mjasiriamali , nafasi zilizopo ni kuwa mwajibikaji katika kila sehemu ya biashara yako ikiwemo msaada wa kiufundi . Tengeneza mpango wa kukambiliana na shida za teknologja.

Kitabu cha kampuni yako ----- kilichochapishwa au eletroniki?
Kila senti inapohesabiwa, inatakikana kufikiria kwa makini kuhusu vifaa vyako vya mwanzo. Kutengeneza na kuchapisha kitabu cha kampuni, kuchukua muda mwingi na gharama. Tovuti ni njia yenye mbadala mkubwa.

Kutengeneza / kujenga tovuti kubwa
Tovuti ni muhimu kama kadi za biashara unapopiga hatua ya jina la kampuni yako. Pata mwongozo wa kutengeneza na kuzindua tovuti ya kwanza ya kampuni yako.

Nguvu / uwezo wa dhamira ya ndani ya orodha ya rekodi
Kama unawasiliana, pengine una jozi nyingi za kadi za biashara kutoka kwa wateja wako watazamiwa, wafanyikazi wenza pamoja na wawekezaji wenye uwezo kuzungumza kwa njia hizi za mawasiliano mara kwa mara kupitia majarida, barua pepe na njia nyinginezo za kusambaza habari.

GAZETI LA ELEKTRONIKI LILILO NA HABARI ZA KUVUTIA (E- ZINE MANIA)
Jarida/gazeti la eletroniki la (E – zine) hukuunganisha na wateja, watazamiwa, waajiriwa, wachuuzi, na wawekezaji wa mara kwa mara. Tumia vidokezo vyetu kuunda gazeti hili kila mwezi kwa ajili ya watu

Tumia mada yako ya barua pepe ili ujumbe wako kufunguliwa
Biashara ni kuhusu kunyakua na kuwatilia watu manani. Jua ubora au manufaa ya mada ya barua zako pepe.

Je, njia ya kuwekeza kibiashara ni bora katika biashara yangu?
Uwekezaji ni njia sawa ya kupanua biashara. Jifunze namna za kufaidi kutokana na teknolojia hii ya nguvu kwa njia yenye gharama bora.

0
No votes yet
Your rating: None

it must be admitted that the business obat keputihan gatal and jas hujan axio yogya forward for their good internet connection.

»