Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ni wapi utapata pesa nyingi?

Man on Phone

Si vigumu kupata pesa za kusaidia biashara yako unavyodhani. Zipo njia nyingi za kuzipata , kutoka kwa uwekezaji wako (akiba) na msaada wa kifedha kutoka kwa familia na rafiki zako ili kupata mkopo mdogo. Zipo njia nne za msingi utakazotumia kupata fedha kwa biashara yako.

  • Faida au akiba yako:
    Unaweza kutoa fedha kutoka kwa biashara yako au utumie akiba yako ili kuwekeza katika kampuni.
  • Wakopaji:
    Unaweza kupata mkopaji wa umma au wa kibinafsi kukusaidia.
  • Wawekezaji:
    Biashara yenye rekodi bora ya kufuatiliwa huwavutia wawekezaji kuwa wamiliki wa kampuni hiyo kwa kununua mali.
2
Average: 2 (1 vote)
Your rating: None