Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kwa nini usifanye biashara kwa njia hii

Biashara ndogo ndogo haitakoma kuendeshwa kwa mujibu wa yale yaliyoangaziwa awali. Kuna mapato ya chini katika kunawiri kwa biashara zaidi ya ile inayofanywa kwa muda mfupi. Wanabiashara haramu wako tayari kukabiliana na hatari zozote bila kulipa ushuru au kufuata sheria za leseni kwa sababu wanajua kwamba wataacha kufanya biashara iwapo watakabiliwa na changamoto.

 

Majasiriamali wanaotaka kukuza biashara zao, hata hivyo hawawezi kuendelea kuendesha biashara kama ni haramu. Madalali wako wakuu, wateja na kampuni ambazo ni nguzo ya kukua kwa biashara, watahitaji kufanya mambo kwa njia tofauti. Wanaokuletea mali, wateja na viongozi wengine wanaweza kuwa na hamu ya kupanua uhusiano kati yako na wao. Hii ni kwa sababu wanakua uavyozidi kukua kibiashara. Waweza kuwa na nia ya kukulimbikizia mali nyingi huku wakikupa muda zaidi wa kuwalipa baadaye.

Wanaosambaza mali, wateja na viongozi hawawezi kuwekeza katika biashara yako iwapo hawadhani kukukopa pesa au kutia mkataba wa kandarasi ya muda mrefu isipokuwa wajue kwamba utawarudishia bidhaa na huduma zao. Wanataka kuona ukiendesha biashara yako sambamba na jinsi wanavyofanya kwa mujibu wa sheria zilizopo na kutumia elimu na busara.

 

0
No votes yet
Your rating: None