Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Toa bei ya bidhaa na huduma zako inavyofaa

 

Unaweza kubadilisha biashara yako kidogo kwa kuitisha pesa kidogo au nyingi. Fanya utafiti wa soko ili kutathmini bei inayofaa kwa bidhaa au huduma yako. Waite wanabiashara wengine ili kujua bei zao.

 

Mahali pako pa biashara na huduma yoyote halisi unayotoa inaweza kuongeza thamani. Kwa hivyo, kuwa na wazo hilo pindi unapotaka kutoa bei. Anayetoa huduma ya mitindo ya ususi wa nywele katika mahali penye gharama ya juu sana ya maisha au walio majirani wema wanaweza kuitisha bei ya juu.

Angalia tofauti ya bei/kiwango cha bei katika soko lako ili kutoa kiwango chako. Kama hutatoza bei ya juu, wateja wako dhabiti wanaweza kushuku ubora wa bidhaa/ huduma yako. Iwapo utatoza bei ya juu, wateja wako wanaweza kupeleka biashara zao kwingineko.

 

0
No votes yet
Your rating: None

Enter the PIXMA iX7000 Inkjet Business Printer that delivers the quality, performance and printing solutions you need for business with ease  if you need the driver printer, you can check at iP6210D extraordinary printer making  The Lexmark Interpret S405 is a capable multifunction printer with respectable output speed and quality,  if you need the driver printer, you can check at s409 lexmark the three The new ipad smaller than normal 2 (or ipad small scale with Retina show, if you need the gadgets info, you can check at Lumia 353 phone moderate Six roadsters you can have on your driveway for pocket-money prices if you need the last info about car automotive, you can check at Alpina B4 Biturbo anticipate Kalau dollar naik penghasilan kita juga naik, jadi walaupun harga di pasar naik tidak akan terasa. Trus kalau dollarnya turun; if you need the last info update about technology, you can check at cara mendaftar domain gratis  Canon PIXMA MX357 could also be a multifunction printer that you’ll use not entirely meant for printing but may be used to scan and replicate your documents if you need more info about geophysics, you can check at canon mx366 pixma scan excellent photograph papers for uncommon lab-quality prints

»