Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Mikopo ya ukulima kutoka kwa benki za kibiashara

Ninaweza nikapata wapi mkopo wa kilimo?

Benki kadhaa nchini Kenya zinapeana mikopo ya kilimo kwa wakulima wenye mashamba iliyo na msingi imara na inanawiri. Mikopo yenyewe inatofautiana kutoka benki moja hadi nyingine na unahitaji kutembelea benki ili upate habari zaidi.
 
  • Benki ya Equity: Mkopo wa ukulima
Huwafadhili watu wote wanofanya kazi zinazoambatana na ukulima pamoja na ununuzi wa bidhaa na vifaa vya kutumia shambani.
 
  • KCB: Boresha Maisha
Huu ni mkopo wa jumla unaoitwa Boresha Maisha. Mkopo huu hupeanwa kwa watu walioko katika biashara za aina yote. Ukiwa una biashara ya kilimo, unaweza kupata mkopo huu. 
  • Bank of Baroda: Mkopo wa Vifaa

            Hufadhili ununuzi wa vifaa kama trakta, lori na mashine za kuvuna.

 

3.833335
Average: 3.8 (6 votes)
Your rating: None