Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ufadhili wa Kilimo, Huduma za Mikopo na Mashirika ya Kuungana

Wizara ya kilimo inapendekeza wakulima kuzingatia kazi yao kama biashara pale wanaweka mpangilio wa pesa watakazo wekeza na faida watakayo tarajia. Benki na mashirika ya kifedha hufadhili wale ambao wanampangilio unaoweza kuleta faida.

Katika sehemu hii, utaelezwa unakoweza kutafuta usaidizi wa kifedha wa kuendeleza biashara yako ya kilimo.