Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kuwa Tayari Kuandika Ratiba ya Biashara

Ratiba ya leo ni ya kesho na siku za usoni. Kwa hivyo hakikisha umetenga muda ufikirie unayotaka kufanya na jinsi ya kuyaeleza. Je,una picha kamili ya biashara yako kichwani? Andika picha hiyo chini, ifikirie, irudie tena na uiboreshe. Ratiba ya biashara yako ni njia moja ya nguvu utakayotumia kuanza au kunawiri biashara yako.

Ratiba yako ya biashara lazima iwasilishe vizuri mawazo na malengo yako. Kuna hoja 3 muhimu unazostahili kuangazia kila mara au popote katika ratiba ya biashara yako.

  1. Wateja
    Elewa na eleza vizuri ni kina nani wateja wako na vipi bidhaa yako au huduma yako itakavyoafiki mahitaji au matakwa yao.
  2. Azimio
    Kuwa wazi kuhusu nafsi yako, ni ipi bidhaa au huduma yako na jinsi gani utakavyotekeleza na kukuza kampuni yako.
  3. Malengo
    Kuwa wazi kwa namna unavyokadiria kufaulu. Eleza mapato yako na malenga endelezi au malengo ya kunawiri. Eleza kinachostahili kwa soko lako, bidhaa na ushindani.Ukiwa tayari unaweza kutumia kigezo chetu cha unda ratiba ya biashara ili kutengeneza stakabadhi yako. Ratiba zinaweza kuwa na urefu wa kutoka kurasa 5-40. zile za kadiri ni 10-12 za maandishi na 4-6 za habari ya fedha au hesabu.
0
No votes yet
Your rating: None