Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuchagua Benki Au SACCO

SACCO huhudumu mahali maalum au kwa vikundi maalum. Uliza kama kuna SACCO mahali unapoishi kisha ukipata, zungumza nao kuhusu huduma zao. Kama hakuna SACCO mahali unapoishi, unaweza kuanzisha.

Ikiwa wapendezwa na benki za kawaida, chunguza ni gani ina matawi mahali unapoishi. Unahitajika kutafuta benki ambayo utaipata kwa urahisi, iko na malipo ya chini na riba ya juu kwa akiba yako. Pia, chagua benki ambayo iko na sehemu za kutolea pesa na kadi nyingi ili uwe na uwezo wa kutoa pesa kokote.
 
 

 

0
No votes yet
Your rating: None