Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Tengeneza Mazungumzo ya Kupendeza (Ucheshi) Kwenye Bajeti

Pata watu wanaofaa ili kuwazungumzia kwa shauku kubwa kuhusu biashara yako. Ni wapi watu wafaao? Hilo hutegemea bidhaa au huduma yako. Kwa baadhi ya biashara, mabarobaro ndio watengenezaji wazuri wa mazungumzo hayo. Kwa wengine wanaweza kuwa watunzi wa bohari. Wacheshi hawa ni tarishi (watumishi) wanaoeneza habari ya kweli kuhusu bidhaa au huduma yako. Si kwamba wananunua tu kutoka kwako, bali wanawaambia wengine kufanya vivyo hivyo.

Kwa biashara nyingi, watu wajulikanao zaidi ndio wacheshi wazuri. Kama watu watamwona Charlize Theron akivaa nguo ya mtindo wa hivi punde au Steve Makone kula katika mkahawa wako, una nafasi nzuri ya kuwa na ucheshi. Hata hivyo, watu wengi hufanya ucheshi au mazungumuzo ya kienyeji ili kufaulu.

Ninawafikiaje Wacheshi (Wazungumzaji wa Kupendeza)?
Hatua ya kuanza ni kuwatambua. Wana miaka mingapi? Hufanya ununuzi, hula, hucheza na hufanya kazi wapi? Wanasoma, kutazama na kusikiliza nini? Tambua mengi kadiri ya uwezo wako.

Nitafikishaje Bidhaa au Huduma Yangu Katika Rada Yao?
Tumia mifano ifuatayo ili kuwapata wanajadi au wanasanaa kuzungumzia kuhusu biashara yako.

 • Tumia Vitu Vya Kutoa Bure
  Ipeleke katika sehemu asilia. Uza bidhaa au huduma yako moja kwa moja kwa watakaoitumia sana.
 • Wahusishe wacheshi wako
  Lidhamini kundi lililo na mtazamo, watumie wateja wako sampuli ya bidhaa yako bila malipo, waulize wateja wako wakurudishie majibu.
 • Tumia utangazaji au matangazo
  Kwa ubunifu, toa habari kuhusu biashara yako kwenye vyombo vya habari maalumu.Anzia chini na usalie kuwa maalumu. Chukua muda kuendelea na kukuza uhusiano wenye thamani na maripota maalum, watakaoweza kukusaidia kueneza habari.
 • Andaa sherehe maalum
  Ufunguzi mkubwa ndio unakusudiwa katika biashara inayoanza (mpya).Lakini jaribu kufanya kitu Fulani ambacho ni tofauti ( si kawaida ).Sherehekea siku kuu isiyofahamika sana. Wateja watakuwa na hamu na hata maripota ( wanahabari)
 • Dhamini shule au klabu ya nyumbani
  Utafaulu na wanafunzi, wazazi na viongozi wa jamii kwa kuonyesha moyo wa kupenda kwa watoto. Onyesha picha zao, tengeneza fulana na uandae dhifa au sherehe ya kufanga msimu. Unapoendelea kueneza jina lako kule nje, inasaidia chanzo kilicho cha thamani. Huwezi kupoteza au kupata hasara.
 • Kuwa bora zaidi
  Kuwa mmiliki bora wa duka la donati au piza, kinyozi,na dobi. Majumba ya biashara na mashirika mengine ya kibiashara hudhamini wafanyao kazi bora kwa kuwatuza. Tambua ni kipi kinachotolewa na ujinge.
3
Average: 3 (1 vote)
Your rating: None