Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Mpango mzuri wa mauzo

Kwa kila unachotaka kufanya, kuunda mpango wa uuzaji, unaweza kushindwa, unaweza kuona kwamba ni kazi ya kupoteza muda lakini sivyo. Hapa kuna mwongozo utakao-kuondolea mahangaiko ya chombo hiki kizuri cha biashara.

  • Kanuni nzuri ni kubajeti asilimia kumi (10%) hadi asilimia ishirini (20%) ya uuzaji wako kwa mauzo.
  • Fikiria kuhusu mwaka mmoja kwa wakati mmoja katika mpango wako wa mauzo halafu baadaye uigawe iwe miezi.
  • Andika malengo yako ya mwaka. Chagua chini ya malengo matatu ya kuangazia kwa mwaka mmoja. Kutoka Januari hadi Aprili kwa mfano shughulikia lengo moja ndio baadaye lengo jingine katika mwezi wa Mai kuelekea Agosti.
  • Eleza kimkhutasari njia mwafaka za kuafikia malengo yako kama muuza maua anataka kuleta biashara nyingi ya ushirika, anaweza kutengeneza orodha ya makampuni yanayokusudiwa. Waite watu wanaostahili katika kampuni na utume shada la maua au tangazo la postikadi kwa wateja wako wa kutumainiwa.
  • Unda ratiba au kalenda ya mauzo ikiwa na makataa (tarehe ya mwisho) unapotambua shughuli zako.
  • Pitia matokeo ya mauzo yako – mara nyingi waulize wateja wako kuhusu namna walivyokusikia. Hili litakufahamsha shughuli ambazo zinatekelezwa vizuri.
0
No votes yet
Your rating: None