Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ni nini bodi ya ushauri/ bodi ya ushauri ni nini?

Kuwaza pamoja, kuwa na fikira na habari na watu wanaokuheshimu kwa kuwa na juhudi kubwa kwa biashara yako ni wa manufaa kwa biashara yako. Bodi ya ushauri huweza kuonyesha tofauti katika njia za kufanya vitu na namna biashara yako itakavyokua. Tumia maswali na majibu yaliyo hapa chini kukuongoza katika mpango wa bodi ya ushauri.

Ni nini bodi ya ushauri/bodi ya ushauri ni nini?
Ni kundi la wafanyikazi wenza wa zamani, wanachama wa jamii wanaoheshimika, majasiriamali na yeyote atakayekusaidia kuendeleza na kukuza biashara yako. Kundi hili hukushauri na kuwa hamasisho { kioo jamii }, hutia mawazo mapya na ni chanzo cha warejelewa na wateja.

Ninaweza kwanza bodi ya ushauri katika biashara yangu
Ndio, kama unataka kundi lililojengeka na kujitolea katika biashara yako na kufaulu.
Wanachama watawaelekeza wateja wawe na habari ya kusaidia kwa pamoja na kukushauri unapotaka kufanya maamuzi.

Ni nani nitaamwuliza ndio ni keti katika bodi ya washauri?
Kama una uhusiano wa kitaalamu au kibinafsi na watu, wao ndio chaguo zuri. Waite wale uliowapa nafasi ya kwanza ili kufanya swala hilo na wao. Halafu fuatilia na barua iliyo na maelezo ya ombi lako. Lazima uwe na kati ya watu 6-10 katika bodi yako na kila mwanachama lazima alete maarifa tofauti kwa kundi. Hakikisha una wakili, mhasibu na mtaalamu wa mauzo katika kundi hilo.

Je, mikutano hufanya kazi gani?
Pindi unapokuwa na kundi, mwulize kila mtu wakati unaofaa na mahili pa mikutano. Sasa chagua mahali pazuri na uamue mnastahili kukutana baada ya siku ngapi, ambayo inaweza kuwa mara moja kwa mwezi au mwaka.

Nipataje makubwa kutokana na bodi?
Panga mikutano yako kimakini na uwandae watu mapema. Watumie agenda siku nyingi kabla ya mikutano pia tuma stakabadhi ya kusoma au chochote kile unachotaka wapatie na kuzungumza katika mkutano. Katika siku ya mikutano, fika pale mapema na ulete nakala za ajenda na vifaa vingine visaidizi. Hakikisha una vinywaji na vitafuno. Hatimaye kuwa na dakika nyingi kwenye mkutano na nakala ya tangazo kwa kila mwananchi, pindi tu baada ya mkutano ili kuwa na mazungumuzo safi katika kila mawazo ya kila mtu.

Je, ninawalipa wanachama wa bodi yangu ya washauri?
Kuwalipa wanachama si lazima, lakini sharti ujitolee kulipia maegesho au gharama ya usafiri na kutoa vinywaji. Kama inafaa, wape wanachama wa bodi hiyo zawadi wakati wa siku kuu. Malipo na tuzo zinaweza kuwepo kutokana na juhudi zao. Sema asante. Hakikisha mno njia moja ya mawasiliano ya bodi na kila mtu ndio wawasiliane na mmoja hadi mwingine. Andaa mazingira ambapo kila mmoja atafaidi

0
No votes yet
Your rating: None