Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Tia ucheshi Fulani katika bajeti yako

Utahitaji ubunifu na ujasari mwingi, lakini kuchukua nafasi yako kwenye mauzo hufaidi, na huwa ni faida madhubuti, badala ya kubaki katika maswala ya zamani ya tamaduni. Tumia mifano hii ya vitu walivyofanya wamiliki wa biashara kuzifanyia mauzo kampuni zao.

 • Vaa mavazi kuigiza (maleba)
  Vaa vazi liendalo sambamba na biashara yako, simama nje na uwapungie mkono/ uwapigie suluti na utoe hati za fedha na vishawishi. Unaweza kuyafanya haya mbele ya biashara yako au kwenye tukio Fulani. Watu wanaopenda vitu vya bure na kuvaa vazi la kawaida huzua ucheshi.
 • Tengeneza programu ya uzoefu wa vitu
  Wateja wanaweza kuwa na uzoefu katika “pizza-flavour” vipande vya mkate vyenye nyama (sindiwichi) na mvinyo. Bidhaa hiyo inaweza kuangaziwa mwezi mzima kwa kisa cha kuchekesha ikiashiria kwa nini wateja wanachagua bidhaa hiyo.
 • Dhamini shindano
  Mifano ni “mitindo ya kidrama ya mabadiko ya ususi wa nywele “agizo la kahawa ngeni” kwa mkahawa uoshaji wa gari. Mpe mshindi diskaunti (kipunguzo) cha mwaka mmoja.
 • Fanya ujanja ili kuwavutia wateja:
  Pengine, kawaida unavaa soksi zenye rangi ya zambarau au ya machungwa. Majasiriamali wengi huwa na kofia spesheli ya kuvaa au mifano mingine ya wanyama kisanamu.
 • Sherehekea siku isiyokuwa ya utamaduni
  Kila mtu hutuma kadi za siku kuu.
 • Buni siku yako kuu.
  Chagua wiki au mwezi, uupe jina la kipekee ili kuleta biashara karibu. Msusi wa nywele anaweza kuwa na maadhimisho ya wiki yaitwayo “Juma la kutokuwa na nywele mbuvu”
 • Ifanye menu (Ankara) ya kuchekesha
  Tumia majina yasiyotarajiwa, visa au matumbuisho ili kuwapata wanao- zungumuzia biashara yako.
 • Toa tangazo kwenye gazeti au kwa televisheni
  Mmiliki mmoja wa duka la kuuza vipuri alikatakata televisheni kwa msumeno kuashiria kuwa anapunguza bei. Pia alionyesha wafanyikazi waliokuwa wamevaa nguo nyingi wanaouza vipuri kwa bei ghali (ya juu) na kuwakimbiza mbali.
 • Toa bidhaa spesheli kwa maonyesho ikiwa na habari kuhusu biashara yako juu yako
  Mimiliki wa duka, ambaye pia ni mpenzi wa mchezo wa magongo, alikuwa na kichungu cha kuwekea tufe na akawa anasambaza popote alipocheza.
 • Tengeneza “sehemu ya maisha” kwa vyombo vya habari
  Mpe mwanahabari/ripota chakula cha bila malipo katika mkahawa wako kwenye sherehe za kuukaribisha mwaka mpya. Waalike katika densi ya usiku.
   
0
No votes yet
Your rating: None