Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ili kuzungumza kiufundi, unahitaji nini?

Tumia mwongozo huu ilio kutathminii mahitaji ya kiteknolojia ya biashara yako.
Fikiria kuhusu ununuzi wa kiteknolojia kama uwekezaji badala ya gharama. Hili litakutia moyo kuchukua muda unaohitaji kufanya changua bora.

Zingatia mahitaji yako ya biaashara.
Ni changamoto zipi unazotaka kuwasilisha? Kuwa mbainifu na mwenye uwezo, kuorodhesha kazi zote unazotaka kutimiza, kutoka kwa barua pepe hadi kwa kitabu cha malipo ya wafanyikazi na mwisho kwa orodha ya ununuzi wa vifaa.
Kuna suluhisho la kiteknolojia kwa changamoto zako nyingi.Tambua kinachoendelea huko nje kwa kuzuru duka la kompyuta, kutafuta mtandaoni au kumwuliza mpenzi wa teknolojia.

Tengeneza mpango wako rahisi wa teknogia
Mpango mzuri utaangazia malengo yako ya teknolojia, unachotaka kuwafanikishia, kupata unachokihitaji na muda wa utekelezaji. Fikiria kuhusu “software” kwanza na baadaye “hardware”utakayotumia kuendeshea biashara yako. Pia, unastahili kubaini namna ya kuhifadhi yote.

Kumbuka kufikiria kijifunza namna kila chombo / vifaa kitagharimu na muda utakaochukua kujifunza matumizi yake kwa njia bora. Hata kompyuta rahisi au programu itahusisha saa nyingi za mafunzo.

Duka la ulinganisho kwa wote wa teknolojia.
Utapata manufaa makubwa kama utaangizia wazalishaji.
Teknolojia hutekeleza majukumu kwa wamiliki wa biashara ndogo ndogo.

Wamiliki wengi wa biashara ndogo ndogoo wanaamini kuwa teknolojia ni ghali au na ni dhaifu kwao.
Maduka ya reja reja hutumia teknolojia kwa kiwango cha chini, lakini wanapotumia, wanafurahikia mauzo ya juu mno na kukua kwa waajiriwa kuliko uzalishaji na huduma za kibiashara.

0
No votes yet
Your rating: None