Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kuunda tovuti kubwa

Tovuti ni chombo cha nguvu sana cha mauzo, lakini itakuwa bure sana kama hutaambia watu ipo na kuhakikisha kuwa wale wanaipitia wana maarifa.Fuata kanuni hizi tatu muhimu ili kujenga tovuti kwa ajili ya biashara yako.

Unda tovuti kubwa:
Tovuti yako hushindana na mamilioni ya tovuti nyinginezo. Kama haivutii nafsi ya anayeizuru, ataifunga na hatorudi. Hakikisha kwamba tovuti yako imefuata sheria au kanuni hizi katika ushindani.

Iunde na watakuja: Hapana njia /namna
Tovuti yako inapokuwepo, wacha watu wajue kwamba ipo. Hakikisha kwamba umepata wateja wako watazamiwa kuizuru.

Ya kimsingi katika kubuni tovuti yako:
Kinatakikana kufanywa hatua kwa hatua ili kuunda au kubuni tovuti yako

5
Average: 5 (1 vote)
Your rating: None