Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Nguvu za databesi ya kukubalika

Hapa, hii ni jinsi ya kuunda databesi kusudiwa:

  1. Unda fomu ya tovuti yako. Fomu ya tovuti ni sehemu ya wazuru au wageni wa tovuti yako wanapotia habari kama majina yao na maelezo ya mawasiliano yao. Biashara nyingi huwaalika wageni wa tovuti kujisalili katika kila ukurasa. Kwa hivyo haijalisi kama ni ukurasa upi wanaotazamia. Wanakumbushwa kujisajili.
  2. Kila wakati mgeni anapojisajili kwenye tovuti yao ya databesi, moja kwa moja utapata barua pepe inayokujuza jina la mgeni wako, anwani ya barua pepe, na habari nyinginezo ulizoagiza. Mgeni wako sasa amekuwa “mteja” wako rasmi wa tovuti yako.
  3. Weka habari ya mteja wako katika mahali palipotengwa. Watu wengi hutumia faili za maneno au karatasi tandazi kuhifadhi habari. Kuna programu za kompyuta sana sana kwa minajili ya kupitia habari hii.
  4. Unapokuwa tayari kutuma barua pepe kwa wateja , kwa ufupi tumia habari unayosambazia toleo lako, gazeti au habari ya kampuni. Hakikisha umejumuisha njia nyingine “isiyo ya wateja” katika kila barua pepe unayotuma.
  5. Watu wanapochagua kutotumia huduma kutoka kwenye tovuti yako, papo hapo, koma kuwatumia ujumbe. Kanuni dhidi ya kutumia watu barua pepe zisizofaa ni thabiti kuliko kuliko kufanya tovuti yako kwa kufeli kuafikia kanuni hizo.Baadhi ya watu huendesha maombi yao yasiyokuwa na gharama kabla ya kutuma barua pepe mpya, kuliko kuzitoa pindi tu zinapoingia.
  6. Unapotuma barua pepe kwa wateja watoa fedha, utapata baadhi ya jumbe “zilizofeli” kumaanisha kuwa watoaji fedha wao fulani hawakupata ujumbe wako.” Kufaulu kusikokuwa na mwisho” humaanisha kuwa kisanduku cha ujumbe wa mpokeaji kikamilifu, kihudumu chao cha barua/ujumbe kina shughulika, au anwani ya baua pepe iliwekwa vibaya/visivyo.

Databesi za kukubali kusajiliwa ni vifaa vikubwa vya mauzo kuongezea kwa juhudi nyinginezo za mauzo.Kumbuka, huchukua karibu miezi sita kutengeneza uhusiano thabiti ili kufanya mteja wako kuwa na habari kuhusiana na jina la kampuni yako. Mauzo kupitia barua pepe, jina la kampuni na nambari ya simu.

Nitatuma nini kwenye kampeni ya barua pepe?
Umekusanya jozi za majina na anwani za barua pepe kutoka kwa databesi. Tayari unastahili kutuma barua pepe kwa kila mtu. Lakini utatumia nini? Hapa zipo baadhi ya kauli.

Kidokezo cha kila mwezi kinachoenda sambamba na biashara yako .Vidokeza kutoka kwa muuza maua kwenye msimu wa maua,wanadobi,watunzaji wa vyakula vya afya ni baadhi ya mifano.

Gazeti linaloangazia habari za kampeni, visa vya wateja, na habari kuhusu bidhaa au huduma mpya.

Habari kuhusu shughuli fulani au mauzo unayodhibiti. Chochote unachotuma, jumuisha mawasiliano pale chini. Kwa mfano, unaweza kusema: “watu kumi wa kwanza kununua toleo hili watapata zawadi ya bure” . Ni muhimu kupitia kufaulu kwa mauzo kwa njia ya barua pepe na miito ya utendakazi ndio njia ya kutathmini matokeo.

0
No votes yet
Your rating: None